Home President John Jeremiah

President John Jeremiah


Message from President Jeremiah 31/05/2018

0 comments

The Message from DARUSO President John Jeremiah 01/03/2018

JILILI JOHN JEREMIAH Daruso President/0762634301 Leo 01/03/2018 saa 12 jioni nitakuwa LIVE TBC kuzungumzia Changamoto za kilimo cha pamba na ahadi za tumaini jipya kwa wakulima wa pamba kufuatia maagizo ya waziri Mkuu wa JMT mkoani Mwanza 28/02/2018.@🇹🇿

0 comments

Message from President Jeremiah 12/02/2018

0 comments

The Message from President Jeremiah

Na Jeremiah John Jilili Mwananchi wa Shinyanga(v) 0762634301/0687548035 SERIKALI IWASAIDIE WAKULIMA WA PAMBA NCHINI Ndugu Watanzania tunatambua fika kwamba asilimia kubwa ya Watanzania wengi wanajishughulisha na kilimo na ufugaji ,zaidi Wananchi wa Kanda ya Ziwa hujishughulisha na kilimo cha zao la biashara liitwalo Pamba. Mimi ni Mwananchi wa halmashauri ya Shinyanga,tumekuwa na Changamoto kubwa kuhusiana […]

0 comments

The Message from President Jeremiah 02/02/2018

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu na mwanasiasa nguli Nchini Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru.May his soul rest in eternal peace. Ni kiongozi wa kuigwa kwa matendo yake ya kizalendo katika kupinga dhuruma dhidi ya wakoloni ,kusimamia haki na kushiriki kwake kupigania uhuru wa Nchi yetu enzi za ujana wake. Mungu alitoa,Mungu ametwaa jina […]

0 comments

The message from President Jeremiah 26/01/2018

Na JILILI J JEREMIAH Daruso-President 0762634301 TAARIFA KWA UMMA WA DARUSO Ndugu zangu Wanadaruso nawasalimu kwa kauli mbiu ya Daruso “SOLIDARITY FOREVER” Ndugu zangu itakumbukwa Kuwa kuelekea siku kuu ya Christmas na Mwaka Mpya nilitoa taarifa kwa umma wa Daruso kama mrejesho wa Changamoto mbalimbali ambazo ziko hapa chuoni,Changamoto hizo nilizianisha kama:- 1.kuchelewa kuanza kufanya […]

0 comments

Message from President Jeremiah 24/01/2018

https://sustainabledevelopment.un.org/?menu=1300 @NINI USHIRIKI WAKO KATIKA MAENDELEO ENDELEVU HAYA YA DUNIA? #JILILI JEREMIAH JOHN 0762634301 DARUSO-President |🇹🇿

0 comments

The Message from President John Jeremiah 21/01/2018

0 comments

The message from President John Jeremiah

“Ndugu zangu Wana Daruso tunatakiwa tuilinde na tuitunze amani yetu kwa wivu wa Hali ya juu sana Kwani ni tunu mhimu sana katika ustawi wa maisha yetu ya kitaaluma hapa chuoni. Mwisho niwatakie uwajibikaji mwema katika masomo yenu na ujenzi wa nchi yetu” Regards JILILI J,JEREMIAH 0762634301

0 comments

SERIKALI YA WANAFUNZI – DARUSO

    The message from President John Jeremiah          

0 comments

The Message from President Jeremiah 10/01/2018

Tukibalishana uzeofu,Changamoto na namna ya kuzitatua katika uendeshaji wa serikali zetu na Rais wa serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu cha Makerere Ndugu Emmanuel Awori katika Ukumbi wa Kihistoria Nkrumah UDSM

0 comments