Home Inside University Campus Lane The Message from President Jeremiah 02/02/2018

The Message from President Jeremiah 02/02/2018

181
0
SHARE

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu na mwanasiasa nguli Nchini Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru.May his soul rest in eternal peace.

Ni kiongozi wa kuigwa kwa matendo yake ya kizalendo katika kupinga dhuruma dhidi ya wakoloni ,kusimamia haki na kushiriki kwake kupigania uhuru wa Nchi yetu enzi za ujana wake.

Mungu alitoa,Mungu ametwaa jina lake libarikiwe.

Regards

JILILI JOHN JEREMIAH

Daruso-President

0762634301

02/02/2018

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here