Home News Inside University Message from the president John Jeremiah 27/12/2017

Message from the president John Jeremiah 27/12/2017

331
0
SHARE

“Ndugu watanzania kuelekea Mwaka mpya -2018 niwatakie kheri na mafanikio katika Maisha yenu zaidi niwaombe kuendeleza maisha yetu ya upendo,umoja,undugu na mshikamano Kwani nje ya tofauti zetu za kiitikadi,dini na makabila yetu hizo Ni Tunu mhimu sana kwetu ambazo tumeachiwa na Wazee wetu Waasisi wa taifa hili”

Wenu Mwadilifu na Mwaminifu katika ujenzi wa Nchi ya Viwanda na Uchumi wa Kati

Jeremiah John Jilili

0762634301/0687548035

#TANZANIA KWANZA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here