Home News Inside University 21/12/2017 President John Jeremiah

21/12/2017 President John Jeremiah

1257
0
SHARE

Ndugu zangu Wana Daruso Ninayo Furaha Kubwa kuwaalika nyote ili kwa pamoja tuweze kuungana kuwapokea Ndugu zetu Wanamichezo wetu waliokuwa wameenda kutuwakilisha Katika Michezo ya TUSA Mjini Dodoma Kwani wameweza Kuwa Washindi wa Kwanza wa Jumla (overall winner) pia Wamepata jumla ya Makombe 6 na medali 50
Tutawapokea Leo 21/12/2017 saa2 usiku Shuttle point na hatimaye tutaelekea Cafteria One
“United we stand,divided we fall”
Regards
JILILI,J,JEREMIAH

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here