Home News Inside University Message from the President 15/11/2017

Message from the President 15/11/2017

130
0
SHARE

Regards
JILILI
Leo 15/11/2017 Wana Daruso nitumie waraka huu mfupi kuwashukuru kwa Mara nyingine tena kwa kuniamini na kunichagua JILILI,JOHN,J Kuwa Rais wenu 2017/2018 kuanzia 25/04/2017 Sina cha kuwalipa zaidi ya kuwatumikia kwa uaminifu,uadilifu,kujenga misingi imara ya jumuiya hii kubwa Africa na kuwaombea kwa Mungu
Mungu Ibariki Africa,Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here