Home Uncategorized *TANGAZO KWA UMMA UDSM*

*TANGAZO KWA UMMA UDSM*

102
0
SHARE

*Ofisi ya Rais ya Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ( Daruso )* inapenda kuwataarifa wanaDaruso mabadiliko ya Mawaziri yaliofanyika leo tarehe 27.Mei katika bunge Tukufu

kama ifatavyo;
*WIZARA YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA BORA*

*MUBERWA Ibrahim* (Udsol) ameteuliwa kuwa Waziri
Amechukua nafasi aliokuwa chini ya mh. NGOIVA Jubilate

Na mh
*MLOWE Claverly (Udsol)* ameteuliwa kuwa Naibu Waziri amechukua nafasi ya mh AIDAN Nelson

*WIZARA YA MICHEZO*

*MABINA David (Soed)* ameteuliwa kuwa Waziri na kuchukua nafasi ya BENEDICT Massawe

*NYAIKOBA Aloyce (Coet)* ameteuliwa kuwa Naibu Waziri kwa kuchukua nafasi ya Mabina David aliekuwa waziri

*WIZARA YA ELIMU*

*NGOIVA JUbilate (Udsol)* amefanyiwa uhamisho kuja kwa Waziri wa Elimu kwa kuchukua nafasi ya Lilian Mawalla

*WIZARA YA ULINZI*

*RICHARD Augustine (Coss)* ameteuliwa kuwa waziri na kuchukua nafasi ya Mahenge Siwajibu

*WIZARA YA MIKOPO*
*GADSON George (Coss)*
ameteuliwa kuwa Naibu Waziri kwa kuchukua nafasi ya Bishanga Godfrey

*Imetolewa na Ofisi ya Rais*

*kupitia;*
*WIZARA YA HABARI,* *MAWASILIANO NA MAMBO NJE*.
*MALISA MARTINE,B* *0714414524*
*RUCHAKI ARNOLD*
*0713432542*

*UNITED WE STAND, DIVIDED WE FALL*

### 27 .Mei 2017

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here